UCHAGUZI MKUU TANZANIA 2015 Na Mchg Paulo Lukas T.A.G Revival Temple Ayapara
Tudumishe amani tuliyokuwa nayo kwa muda mrefu hapa Tanzania, ambayo ni tunu kutoka kwa
Mungu wetu.
Iweje tumwage damu wakati kiongozi asiyekidhi matakwa yetu sisi wana nchi tutamwondoa kwa kura?
Tukubali matokeo ya uchaguzi ambapo yatatokana na kura yako.
Usipopiga kura umepoteza haki yako.
Kumbuka uhuru wetu wa Tanzania ulipatikana bila au pasipo kumwaga damu.
Sisi ni Taifa moja lisilo na udini wala matabaka yoyote. Sisi sote ni ndugu, tunaoana bila kujali kabila.
Asante ni mimi Mchg Paulo Lukas T.A.G Revival Temple Ayapara, Mbulu, Manyara

No comments:
Post a Comment